RAIS DK.MWINYI AMEKUTANA NA UONGOZI WA KLABU YA SMALL SIMBA.

STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASEZanzibar 08.06.2021 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza utayari wa uongozi wa Klabu ya Small Simba wa kutaka kurejesha hadhi ya michezo hapa Zanzibar. Rais Dk. Mwinyi ameyasema hayo leo Ikulu Jijini Zanzibar wakati alipofanya mazungumzo na uongozi wa Klabu